iqna

IQNA

sala ya idul fitr
TEHRAN (IQNA)-Zaidi ya Waislamu zaidi ya 100,000 wameshiriki katika Sala ya Idul Fitr Jumapili katika bustani moja Uingereza na kuufanya mjumuiko huwa kuwa mkubwa zaidi wa sala ya Idi barani Ulaya.
Habari ID: 3471038    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/27

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Sala ya Idul Fitr
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, migogoro ya Yemen, Kashmir na Bahrain ni jeraha kubwa linaoukabili umma wa Kiislamu.
Habari ID: 3471037    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/26

Sala ya Idul Fitri imefutwa katika mji mwa Southampton Uingereza kufuatia ripoti kuwa makundi ya watu wenye misimamo mikali wenye chuki dhidi ya Waislamu wanapanga kuvuruga sala hiyo.
Habari ID: 3470428    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/02